Pedi Bure,Pedi Bila Kodi
Kila msichana na mwanamke anastahili kupata pedi bila kulipa kodi. Kuondoa kodi kwenye bidhaa za hedhi ni hatua muhimu katika kuhakikisha usawa na haki kwa wanawake wote.
Jiunga na kampeni ya #PediBilaKodi leo!
saini
Saini Zilizokusanywa
Inakusanya taarifa...
Unga Mkono Kampeni
Jaza fomu hii kuunga mkono kampeni ya #PediBilaKodi